Aku bibi,narudi zangu kwa mpenzi wangu wa zamani.

hahahaaa story yako inanikumbusha sana maisha ya udsm hiyo ndo style ya madada wengi duuh ama kweli ishi kwingi ujue mengi
 
hivi unawezaje kuwa na mahusiano afu no strings attached?

Maana ya 'no strings attached' ni nini?

Nashukuru Mungu mie wangu tumekubaliana ni "No string attached" Good thing kila mara huwa haishi kutoa hii kauli, "Don't fall in Love man" But nahisi kwa mbali kama naanza kufall vile.., Ila hapa ndo mnaniogopesha..:scared:
 
Watoto wa udsm mna mambo, but chuo kinachoongoza kwa couple I think ni mzumbe as chuo kipo porini hakuna entertainment zaidi ya dating, and also relationship nyingi za mzumbe zilikuwa hazikutan na vishawish vingi as hakuna wafanyakazi jirani wa kumsumbua demu wako na vipesa and also sababu wengi wanatoka familia zinazojiweza as mzumbe wanapenda private student na kufanya intake kwa kujuana so wengi wanaosoma wanakuwa watoto wana network ya ajira as faster after graduation wanapata ajira and then marriage kabla msichana hajafulia kitaa...

But kama kwa maisha ya jk kudumisha mahusiano ya chuo ni ngumu kama mvulana hutachelewa kupata shughuli ya kukuingizia kipato,
 
Jamani hivi kile kizazi cha jamaa alotundikaga majina ya akina dada alowapitia kisha yeye akafa kwa ukimwi, mademu wale wanaendeleaje mtaani! Asikwambie mtu, ukiwa handsome na pesa ipo, utawapanga hadi 'kitendea kazi' kiseme basi.
 
Jamaa akigundua hilo ammege tiqo tu halafu anamwacha
 

Wengine tunao tuliotoka nao chuo mwaka wa kwanza mpaka leo tunadunda na mwakani dogo anaanza skuli. Kila nikimcheki dogo nakumbuka mbali nakucheka kuanzia lecture hall ambazo hazijaisha kule yombo mpaka kilamahewa, ikiwa fresh hillpark isiposoma mama lishe kwa mama k. Gud memories.
 

teh teh teh,yombo kuko fresh sa hzi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…