Akudo Impact vs Fm Academia: Nani mkali?

Akudo Impact vs Fm Academia: Nani mkali?

Geeque ,
Hapo umefanya kweli, sikiliza hizo mbili utaona wazee wa masauti wako mbali na Quality....Masauti JUU

Mazee kuna nyimbo nyingine nazitafuta nitaziweka hapa.
 
Hizi bendi huwa zinatesa kwa zamu, yani kila moja ina msimu wake kama yalivyo matunda! Mwaka juzi nilipokuwa Bongo Ngwasuma ilikuwa funika bovu kwelikweli, hakuna aliyekuwa akiwakaribia lakini last year mwishoni nilipoenda tena nikakuta kibao kimegeuka na Akudo ndio talk of the town,walikuwa wako juu kinoma, hata niliposkia nyimbo zao niliwakubali but I must say am addicted to Ngwasuma.
 
Back
Top Bottom