AKUDO VS Fm ACADEMIA

AKUDO VS Fm ACADEMIA

Kwayus

Member
Joined
Feb 18, 2008
Posts
44
Reaction score
1
Hiiii haijatulia Kabisaa
Naona Kama Kuna Kisa kama si Visa
Naomba Kuwakilisha
 
Kuna Beaf Gani Kwayus?hebu Tufafanulie .........kwa Undani Mi Nadhani Ni Biashara Pia
 
Hiiii haijatulia Kabisaa
Naona Kama Kuna Kisa kama si Visa
Naomba Kuwakilisha

Sio lazima kila memba aanzishe thread hapa, kama huwezi si uwe mchangiaji tu kama mimi? Unaomba kuwakilisha nini sasa? Nini haijatulia?
 
Unataka kujua BIFU lao???hapo ni wivu tu wa kibiashara tunajua wote ni wacongo sasa kuna ka wivu kabishara kila kundi linajisikia ni zaidi ya jingine sasa hapo ndo wivu unapokuja sasa.
 
lakini ni kweli mh.kapuya ndo mmiliki wa akudo?
 
Back
Top Bottom