Kundi jepesi sanaTanzania imepangwa Kundi B kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 Poland 2026
#fifawomensworldcup @fifawomensworldcup @tanfootball
View attachment 3589261
Hilo kundi ndio atatoka Bingwa mwaka huu. Sio la mchezo kabisaa.Unapata hofu Kwa sababu ya kuzifananisha na za wanaume. Kwa taarifa yako hapo hao wazungu wanatetemeka vibaya kuihofia Tz.
Poleni sana kwa kupangwa group moja na timu zangu, maana mi toka zamani nashabikia Brazil, Canada na EnglandTumeisha
Mpaka ngazi hiyo wote ni majayanti ikiwemo Tanzania piaWamepangwa na ma giant haswa, timu zenye mfumo mzuri wa soka la vijana kwa jinsia zote mbili, cha muhimu hata point moja si mbaya
Tusubiri tuone yatakayojiriMpaka ngazi hiyo wote ni majayanti ikiwemo Tanzania pia