Akumbukwe DEO KISANDU

Yataje kwanza hayo makubwa

Hivi wewe Mpaka sasa Hivi huzijuagi dalili za mtu aliyechanganyikiwa
 
Wanajf bwana, wakati anaburudisha humu ndani tulikuwa busy kumkatisha tamaa aachane na mambo yale, amekubali sasa kuikata hiyo tamaa tunamtafuta, tumemkumbuka.

Urudi the don, hata mimi nimemmis😊
Civilian Coin
 
jamaa alipata changamoto ya ugonjwa wa akili.
bila shaka yuko kwenye tiba sasa
 
Wanajf bwana, wakati anaburudisha humu ndani tulikuwa busy kumkatisha tamaa aachane na mambo yale, amekubali sasa kuikata hiyo tamaa tunamtafuta, tumemkumbuka.

Urudi the don, hata mimi nimemmis😊
Civilian Coin
YUle mwamba sikuwahi mkatisha tamaa. Mimi nilimtia sana akaze mwendo atafanikiwa tu. Na sasa ame win life lipo fresh kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…