Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Waswahili walisema akunyimae mbaazi kakupunguzia mashuzi. Jana nimeenda sehemu usiku kwa mwaliko. Walipika Mbaazi.
Kwa kweli nlikula nikazipenda. Ila shughuli yake nimeiona usiku na leo hii kazini. Zina gesi sana. Home usiku haikuwa issue. Nimegundua binadamu wengi wanapenda kusikia harufu ya Ushuzi wao.
Aliwahi nambia dada mmoja akiwa peke yake room anapenda kujamba na kunusa harufu ya mashuzi yake. Anasema inamfanya a relax kiakili.
Nami nlikuwa na uhuru wa kujiachia tu usiku mzima wa jana. Nlikuwa peke yangu Lodge. Leo nmeenda ofisini nimepewa chumba changu peke yangu. Nikajisahau. Nikatoa gesi. Sekunde tu mdada mkali anagonga(secretary) anataka kuja kuniletea some documents.
Nilienda mzuia mlangoni. Nikatoka naye kwenda kwenye dawati lake kwanza kama vile kuna kitu nataka tuangalie wote. Nliona aibu dada aingie ofisini akutane na harufu ya ushuzi.
Nimekumbuka huo msemi wa akunyimae mbaazi kakupunguzia mashuzi. I wish jana wale wenyeji wangu wangeninyima mbaazi, maana kwa kweli kutoa ushuzi ni raha sana. Sema basi tu watu wanachukulia vibaya. Ila kwa kweli sipendi mtu ajambe nami nikiwepo. Mtu afanye hivyo akiwa peke yake.