hii si kitu ya kushangaa! na wala si musoma tu, bali sehemu nyingi duniani. watu hawa huwa wana ugonjwa wa akili. na ugonjwa huu huitwa deep depression. wanameza vitu hivi kwa ajili ya kutaka kujiua. mtu yeyote mwenye ugonjwa huu mara nyingi hujiuwa kwa kujinyonga au kumeza sumu. wanameza misumari au nyuma si kwa kutanguliza ncha. ni ugonjwa mzito. inabidi wachungwe sana. kwani wakati wowote ule hujiua.Msichana mmoja amekutwa Tumboni mwake na vijiko 2 vya chai,misumar ya bati na vyuma kadhaa vyenye uzito wa gram 6,amesema alikua anasikia maumivu sana tumboni,daktari alomfanyia upasuaji amemshangaa sana.
Akielezea kadhia hyo mama wa binti huyo ameshangaa,tukio hlo limetokea MusoMa
sosi:wapofm
Mhhhh,vijiko 2 vya chai na misumari bado unasema uzito ni 6grams?Doubt!Kama ni kweli mimi nafkri katika stge fulani maishani mwake alivimeza hivyo hopeful akiwa mtoto