Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Leo ndio leo!
Wanaume wa shoka wanakutana kutafuta Nani mbabe!
Timu zote zimeshafuzu Robo Fainali ,kinachosubiriwa ni Nani ataibuka mbabe baina yao,kwa kuwa mechi ya Leo haitabadilisha msimamo wa kundi.
Simba inaingia uwaanjani ikiwa na Nia moja tu ,kuendelea kujijenga kuwa Timu Kubwa Afrika .
Upande wao Al Ahl wao watakuwa na kazi kudhihirisha kuwa wao hi miamba ya soka Afrika.
Tujongee karibu tuone wanume Hawa wakitoana jasho
Simba 2-1
JamiiForums1887054257.jpg
 
Amebebwa sana ila habebeki, zile mambo za "mshambuliaji mkabaji[emoji23]" hata kocha kaona hazina maana tena. Ngoja tusubiri wachambuzi fauata upepo watakuja na kauli gani za kusupport Benchi kwa Mugalu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka natumaini kagere atajituma kwa hali na mali kumshawishi kocha kuwa yeye ni bora kuliko mugalu
 
Yule ndo anatakiwa aingie sub baada ya timu kupata matokeo ili akakabe mabeki,si wanasemaga ni hodari wa kukaba illa sio mfungaji.
MK14 akipata nafasi 2 na nusu anafunga hat trick.
al ahly leo wajiandae kisaikolojia maana mambo yanaenda tofauti na walivyodhani
 
Back
Top Bottom