Al Ahly 1-0 Simba | CAFCL | Al Salam Stadium

Simba 2-1
 
Amebebwa sana ila habebeki, zile mambo za "mshambuliaji mkabaji[emoji23]" hata kocha kaona hazina maana tena. Ngoja tusubiri wachambuzi fauata upepo watakuja na kauli gani za kusupport Benchi kwa Mugalu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka natumaini kagere atajituma kwa hali na mali kumshawishi kocha kuwa yeye ni bora kuliko mugalu
 
Yule ndo anatakiwa aingie sub baada ya timu kupata matokeo ili akakabe mabeki,si wanasemaga ni hodari wa kukaba illa sio mfungaji.
MK14 akipata nafasi 2 na nusu anafunga hat trick.
al ahly leo wajiandae kisaikolojia maana mambo yanaenda tofauti na walivyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…