mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #21
Hamsa zinawahusu mkuuKuna watu watalala na viatuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamsa zinawahusu mkuuKuna watu watalala na viatuuuu
Mkuu kumbe mnara utasoma week kabisaa[emoji23][emoji23]Al ahly 7-1 simba
Mkuu kumbe mnara utasoma week kabisaa[emoji23][emoji23]
Uzuri wa uzi huu utatumika na mashabiki wote wa Simba na Yanga kwa vipindi tofauti. Ni suala la muda tuUzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka MISRI[emoji1093]
Ikumbukwe kuwa hii ndio timu yenye mafanikio zaidi kuliko timu zote barani Afrika
Hapo Ijumaa (kesho) tuna jambo letu hapo nchini Tanzania. Kile kipigo tulichotoa kipindi kile cha hamsa ( Goli tano) ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kesho hapo kwa mkapa. Tutawakun'guta vilivyo kuliko tulivyowafanya Mwaka 2019.
Jeshi Zima la wapambanaji kutoka kwa Farao tayari limeshatua kutoa darasa kwa hawa pira papatu papatu wa bongo.
Karibuni waarabu wenzangu.
View attachment 2786452