Al Ahly Fans Tukutane Hapa

Maneno ya mwisho ya babu yangu aliniambia mjukuu wangu akikisha Al ahly ndo inakua timu ya maisha yako , akaniachia na jezi ya Al ahly, kusema kweli naipenda sana timu yenye makombe mengi duniani

MUNGU IBARIKI TANZANIA [emoji1241] MUNGU IBARIKI AL AHLY
 
Sisi ihefu tutakuwa wazalendo kwa nchi yetu.tupo kwa mnyama😉😉😉
 
Hii imekuwa wiki ya mateso makubwa kwa gongowazi kila anayevimbiwa viporo lazima aje kujamba humu.
 
Uzuri wa uzi huu utatumika na mashabiki wote wa Simba na Yanga kwa vipindi tofauti. Ni suala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…