Al Ahly FC itawauliza swali gumu Simba SC kwa nini ilikaa airport badala ya kufanya usajili?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mawinga wa Al Ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.

Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao tumika katika kupenyeza mipira kwenda golini.

Beki mpenda sifa mkata mauno (Inonga) kesho atasusa na sifa zitamponza na kusababisha Ukuta wa Yericko kubomolewa mapema tu.

Simba SC ina kikosi dhaifu (Cha unga unga mwana) kikosi hiki kitakua fundisho, kipindi kingine viongozi wa Simba/kamati ya usajili isilete maigizo ya kukaa airport na kusubiri wachezaji wenye injury na kuwaiba Kama alivyosema msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally kuwa "tumemuiba namba sita wao"

Simba SC ichukulie mchezo wa kesho ni mchezo wa kujifunza tu na siyo kutanua kifua kuwa wanashindana na Al ahly wakati Wana kikosi cha unga unga mwana.

Tukutane kwa Mkapa.
 
Karibu sana baada ya kupotea kwa siku kadhaa.

AFL imekurudisha jamvini, kesho ndo ile siku ya taifa kuendelea kupewa heshima yake na timu bora barani afrika.
 
Unyama mwingi
 
mara ulalamike wanachuo wa kike wa DODOMA MEDIA COLLEGE wanaishi Hostel moja na vijana wa kiume,mara leo urukie kwa Waarabu,si wapelekee hao Waarabu kalio hizo wazishughulikie maana zinakuwashawasha sana
 
HUNA AKILI NA HUNA MARINDA.
 
Hakika MACHOKO hamtaisha Nchi hii
 
Sitaki kuamin kama Simba anaweza kuifunga Al ahly ila ni bora ubakize Akiba ya Maneno mkuu, ubaya ni kwamb Humu ukipost huwez kufuta Itarejeshwa na Utaaibika
 
Semeni kabisa zimebaki ngapi jamani? (Threads)
Kila nikirefresh nakutana na mpya! Lol

Leo tumejua kukichafua, bado kesho sasa…
 
Semeni kabisa zimebaki ngapi jamani? (Threads)
Kila nikirefresh nakutana na mpya! Lol

Leo tumejua kukichafua, bado kesho sasa…
Mbona mnafanya tuzidi tu kutrend, mnadhani kulikashifu pilau la jirani ndiyo mtamfanya jirani asile pilau yake akashiba? Pilau italiwa tu. Lol

Ova
 
Mbona mnafanya tuzidi tu kutrend, mnadhani kulikashifu pilau la jirani ndiyo mtamfanya jirani asile pilau yake akashiba? Pilau italiwa tu. Lol

Ova
Kula atakula ila kwa uchungu, amani ndio kitu tunafanya akose.

Ni violence mwanzo mwisho, ombeni hata mpate sare tu, mkichakazwa mmekwisha.
 
Ramli za kijinga zinazoaminiwa na wajinga tu wa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…