NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
NA HIVYO HIVYO NDIO UTAKENUA MENO BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO HEAVYMleta uzi huuView attachment 2786928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA HIVYO HIVYO NDIO UTAKENUA MENO BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO HEAVYMleta uzi huuView attachment 2786928
NAKAZIA [emoji16]Kula atakula ila kwa uchungu, amani ndio kitu tunafanya akose.
Ni violence mwanzo mwisho, ombeni hata mpate sare tu, mkichakazwa mmekwisha.
Duh! yote hii ni kwasababu hauipendi Simba hivyo? maana ulivyo inanga ni hatari.Mawinga wa Al ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.
Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao tumika katika kupenyeza mipira kwenda golini.
Beki mpenda sifa mkata mauno (inonga) kesho atasusa na sifa zitamponza na kusababisha Ukuta wa Yericko kubomolewa mapema tu.
Simba sc Ina kikosi dhaifu (Cha unga unga mwana) kikosi hiki kitakua fundisho, kipindi kingine viongozi wa Simba/kamati ya usajili isilete maigizo ya kukàa airport na kusubiri wachezaji wenye injury na kuwaiba Kama alivyosema msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally kuwa "tumemuiba namba sita wao"
Simba sc ichukulie mchezo wa kesho NI mchezo wa kujifunza tu na siyo kutanua kifua kuwa wanashindana na Al ahly wakati Wana kikosi Cha unga unga mwana.
Tukutane kwa mkapa.
aibu ya taifa leoMawinga wa Al ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.
Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao tumika katika kupenyeza mipira kwenda golini.
Beki mpenda sifa mkata mauno (inonga) kesho atasusa na sifa zitamponza na kusababisha Ukuta wa Yericko kubomolewa mapema tu.
Simba sc Ina kikosi dhaifu (Cha unga unga mwana) kikosi hiki kitakua fundisho, kipindi kingine viongozi wa Simba/kamati ya usajili isilete maigizo ya kukàa airport na kusubiri wachezaji wenye injury na kuwaiba Kama alivyosema msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally kuwa "tumemuiba namba sita wao"
Simba sc ichukulie mchezo wa kesho NI mchezo wa kujifunza tu na siyo kutanua kifua kuwa wanashindana na Al ahly wakati Wana kikosi Cha unga unga mwana.
Tukutane kwa mkapa.
Duh! tuombe kheri sisi tunaamini tunakwenda liwakilisha taifa .aibu ya taifa leo
Wakiliwa kiboga wataumia sanaKula atakula ila kwa uchungu, amani ndio kitu tunafanya akose.
Ni violence mwanzo mwisho, ombeni hata mpate sare tu, mkichakazwa mmekwisha.
WAMEFURAHI MNO KUPATA SARE.Wakiliwa kiboga wataumia sana
NAPENDA SANA KUAIBIKA MKUU.Sitaki kuamin kama Simba anaweza kuifunga Al ahly ila ni bora ubakize Akiba ya Maneno mkuu, ubaya ni kwamb Humu ukipost huwez kufuta Itarejeshwa na Utaaibika