Al Ahly FC itawauliza swali gumu Simba SC kwa nini ilikaa airport badala ya kufanya usajili?

Mawinga wa Al ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.

Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao tumika katika kupenyeza mipira kwenda golini.

Beki mpenda sifa mkata mauno (inonga) kesho atasusa na sifa zitamponza na kusababisha Ukuta wa Yericko kubomolewa mapema tu.

Simba sc Ina kikosi dhaifu (Cha unga unga mwana) kikosi hiki kitakua fundisho, kipindi kingine viongozi wa Simba/kamati ya usajili isilete maigizo ya kukàa airport na kusubiri wachezaji wenye injury na kuwaiba Kama alivyosema msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally kuwa "tumemuiba namba sita wao"

Simba sc ichukulie mchezo wa kesho NI mchezo wa kujifunza tu na siyo kutanua kifua kuwa wanashindana na Al ahly wakati Wana kikosi Cha unga unga mwana.

Tukutane kwa mkapa.
Duh! yote hii ni kwasababu hauipendi Simba hivyo? maana ulivyo inanga ni hatari.
 
Hii ni tabia ya watu wadokozi ,hasa kudokoa nyama ingali bado ipo kwenye moto haijaiva. Subiri chakula kiive ule, sio unadokolea kwenye chungu jikoni

Muda ni mwalimu mzuri
 
Mawinga wa Al ahly wa kushoto na kulia watawauliza maswali magumu sana Shomari kapombe na Zimbwe Jr.

Fabrice Ngoma na Muzamiru (kiungo Punda) watakua na kazi kubwa na ndiyo uchochoro utakao tumika katika kupenyeza mipira kwenda golini.

Beki mpenda sifa mkata mauno (inonga) kesho atasusa na sifa zitamponza na kusababisha Ukuta wa Yericko kubomolewa mapema tu.

Simba sc Ina kikosi dhaifu (Cha unga unga mwana) kikosi hiki kitakua fundisho, kipindi kingine viongozi wa Simba/kamati ya usajili isilete maigizo ya kukàa airport na kusubiri wachezaji wenye injury na kuwaiba Kama alivyosema msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally kuwa "tumemuiba namba sita wao"

Simba sc ichukulie mchezo wa kesho NI mchezo wa kujifunza tu na siyo kutanua kifua kuwa wanashindana na Al ahly wakati Wana kikosi Cha unga unga mwana.

Tukutane kwa mkapa.
aibu ya taifa leo
 
Back
Top Bottom