Al Ahly ikiitoa Simba itakuwa ni dharau kubwa sana

Brother elewa hivyo zikicheza Timu mbili moja ikiwa na mafanikio ya mpira kuliko ingine hasa makombe hiyo ingine inaingia kama underdog tu ingawaje lolote kwenye mpira linaweza kutokea..
 
Brother elewa hivyo zikicheza Timu mbili moja ikiwa na mafanikio ya mpira kuliko ingine hasa makombe hiyo ingine inaingia kama underdog tu ingawaje lolote kwenye mpira linaweza kutokea..
Usinilazimishe nielewe jambo kwa mtazamo wako wakati umeonyesha mapungufu katika uelewa wa jambo hilo hilo na umekaza fuvu kueleweshwa.

Hivi Al Ahly akikutana na Mamelodi kwenye fainali, utamuita Mamelodi ni underdog kisa Al Ahly amechukua makombe mengi?

Panua wigo wako wa maneno ili uweze kutumia maneno kwa usahihi.
 
Kwa ule mpira nyoronyoro,mdebwedo,mlenda mlenda,pole pole na kujivuta wachezaji wa Simba hadi dk 35 watakuwa wamekandwa goli moja.
 
Simba siyo kibonde wa Al Ahly
 
Kuna watu hamjui na hamtaki kujulishwa
 
Neno "underdog" mnalitumiatumia labda bila kuelewa maana yake hasa. Hakuna kigezo chochote unachoweza kutumia kumuita Simba "underdog" katika mechi hiyo.
Tuambie neno underdog linatakiwa litumikaje? Kwenye mpira wa miguu ikitokea timu A anacheza na timu B lazima mmoja wapo atakuwa ni underdog kwa maana atakuwa kazidiwa kiubora, kulingana na current performance. Sasa mechi ya Simba dhidi ya Al Ahly unataka kusema Al Ahly ndio anaingia kama underdog?
 
AL AHLY KAMA TULIVYOKUBALIANA SIKU ILE DROO INAPANGWA
 
Sitabishana na wewe ila kaulizeulize watu wako wa karibu watakuelekeza ili siku nyingine ujue ni mahali gani sahihi pa kulitumia hilo neno.
Mkuu, Simba ni underdog kwa Al Ahly kama ilivyo Yanga ni underdog kwa Mamelodi. Ubishi wa nini? Unapata shida kuitwa underdog? Pambana uwe mkubwa ili ukwepe hilo jina.

Cc Isanga family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…