Al Ahly imeilaza Du sahel mabao 6 na kutinga fainali sasa kukutana na Casablanca 27/10 fainali ya CAF

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Klabu ya Al Ahly imeifurumusha mabao 6-2 klabu ya Etoil du sahel katika nusu fainali na hivyo kutinga fainali ya klabu bingwa Afrika.

Hivyo hivyo klabu ya wydad Casablanca iliifurumusha klabu ya usm Alger mabao 3-1 na kutinga fainali.


Sasa fainali tutashuhudia miamba hii 2 ya Al Ahly na wydad Casablanca,fainali ya kwanza itachezwa tarehe 27/10 na marudiano 3/11

Msikose fainali ya UEFA yetu

*Total dominance kutoka timu za ukanda wa Afrika kaskazini,je Yanga sc watavunja dominance hii mashindano yatakayoanza January
 
Bingwa Al ahly.

Waarabu wanatuokoa mno Afrika. Kule urussi naamini 3 teams za waarabu zitaenda.
 
Ha ha ha ha ha ingelikuwa timu za weusi naamini hii Thread ingelijaa comments fulu mzuka mazee 😀. Ivi waarabu walitukoseaga nini?? Why hatuwapi ushirikiano though wanafanya vizuri mno zaidi yetu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…