py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Klabu ya Al Ahly imeifurumusha mabao 6-2 klabu ya Etoil du sahel katika nusu fainali na hivyo kutinga fainali ya klabu bingwa Afrika.
Hivyo hivyo klabu ya wydad Casablanca iliifurumusha klabu ya usm Alger mabao 3-1 na kutinga fainali.
Sasa fainali tutashuhudia miamba hii 2 ya Al Ahly na wydad Casablanca,fainali ya kwanza itachezwa tarehe 27/10 na marudiano 3/11
Msikose fainali ya UEFA yetu
*Total dominance kutoka timu za ukanda wa Afrika kaskazini,je Yanga sc watavunja dominance hii mashindano yatakayoanza January