Al Ahly kukipiga na Mamelodi nusu fainali AFL. Nani atatinga fainali?

Abu Haarith

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
314
Reaction score
165
Baada ya Simba kushindwa kufua dafu ugenini Al Ahly wapata nafasi ya goli la ugenini kanuni yaibeba Al Ahly mpaka nusu fainali ambapo anakutanishwa na wamba wa Afrika Kusini.

Mamelodi waibuka kidedea baada ya kumpiga mpinzani wao bao 2-0 katika mchezo uliopita, Jana Mamelodi walishindwa kuona goli la wapinzani wao na kuambulia matokeo ya 0-0 ndani ya dakika 90.

πŸ‡ͺπŸ‡¬ AL AHLY πŸ†š MAMELODI SUNDOWNS πŸ‡ΏπŸ‡¦

Nani Kutinga Fainali ..!! πŸ‘‡


Pia soma: Natamani sana kuiona nusu fainali ya AFL kati ya Al Ahyl vs Mamelodi Sundowns
 
Ungekuta leo tunasubiri nusu fainali kati ya Simba na Mamelod sundown.

Kolo wangeringa sana.
 
Bora yesheee
 

Attachments

  • 20231024_140848.jpg
    16.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…