njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania
Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi za sportspesa so ikabidi pasi ihusike kuzitoa na kubandika m-bet kwa juu
Hali hiyo ilizua taharuki kwa ma professional pundits yaani wachambuzi wetu world class walichambua kwa uchungu sana huku wakimlaumu fred vunja bei na Barbra Gonzalez
Sasa al ahly wameingia katika anga za wachambuzi wetu mahiri ambao kama nchi nabidi tujivunie kuwa nao
Jamaa wamecheza mechi ya kirafiki huku jezi zao zikiwa zimezibwa ka sehemu kadoogo cha sponsor wasiye naye tena, ina maana jezi mpya bado hazijatoka, uzembe wa hali ya juu ila ngoja tusubirie maoni ya kitaalamu toka kwa wachambuzi wetu mahiri