Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

simba dreams..jpg
 
Alexandria, Misri.

KIKOSI cha Simba cha Tanzania kitakwaana na Al Ahly ya Misri Jumamosi katika mji wa Alexandria nchini humo na habari njema kwa Wekundu wa Msimbazi hao wanaonolewa na Mbelgiji Patrick Aussems ni kwamba wapinzani wao watawakosa wachezaji tisa kwa sababu ya majeruhi.
Taarifa kutoka Misri zinasema nyota watakaokosekana wote ni tegemeo ambao ni nahodha wao Hossam Ashour, washambuliaji Walid Azarou na Marawan Mohsen, wakongwe Ahmed Fathy, Walid Soliman na beki Mohamed Naguib hawatatia miguu uwanjani kutokana na majeruhi.
Nyota wapya Ramadan Sobhi, Yasser Ibrahim na Hamdy Fathy nao pia wanachechemea kutokana na maumivu kwa hiyo hawatakuwepo uwanjani.
Kocha wa Al Ahly raia wa Uruguay Martin Lasarte ameweka wazi kwamba kukosekana kwa wachezaji hao ni pigo kwake.
“Tunaendelea vizuri na mazoezi lakini tatizo letu ni kwamba tumekuwa tukicheza mechi kila baada ya masaa 72, jambo hilo limekuwa likiwachosha wachezaji huku wengine wakiumia,"alisema Lasarte.
“Jambo hili si sahihi kabisa, kukosekana kwa mastaa hao kunamaanisha kwamba mechi itakuwa ngumu.”
Vinara hao wa Kundi D, wamekuwa wakicheza mechi mara kwa mara kukimbizana na kasi ya Ligi Kuu Misri.
Hata hivyo vyombo vya habari vya Misri vimekuwa vikilaumu jopo la madaktari wa klabu, kutokana na majeruhi hayo.
Lakini kurudi kwa kiungo Salah Mohsen ni habari njema kwa Lasarte, ambaye kikosi chake hakijapoteza mechi katika kundi hili, waliwafunga AS Vita katika mechi ya ufunguzi kabla ya kutoka sare ya bao 1-1 na JS Saoura ya Algeria.
Simba wao wanaenda kwenye mechi wakiwa na historia ya kichapo cha mabao 5-0, kutoka AS Vita ya DRC, lakini katika mechi ya awali waliichapa JS Saoura 3-0 nyumbani.
 
Worry out!
 
Kikubwa tucheze defensive game at least tutoke 0-0 au walau kupunguza damage ya goli nyingi kama zile za Congo, kikosi chetu kwenye haya mashindano bado sana sisi n#underdog
 
Tunisia nao ni underdog. Kwani Club Africain wawakilishi wao leo wamefungwa goli 8 mtungi.???
Roma juzi alipigwa goli 7-1 na Fiorentina .
Mpira mchezo i una matokeo katili bila kujali hadhi ya timu.
 
Yaaah
 
Nakubaliaba na wewe Mkuu!!! though na hofu Leo tukipokea goli nyingi timu ita loose confidence kabisa ndomana Mimi nasisitiza swala la kuwaheshimu wapinzani kwanza huku tukifanya mashambuliz ya kushtukiza.
 
Back
Top Bottom