Wakitulia mbona watakuwa safiNyie mnaangalia mpira gani? Ahly ana kiwewe akiwa Na mpira.
Wanaheshimu opponent wao. Wanajilinda wanashambulia inapobidi kwa tahadhari kuu.Hawa jamaa wakija kwa mkapa huwa hawakazi ila wakikaza kama hivi tutachezea mkono hapa hapa kwa mkapa.
Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!
Hili jamaa jinga sana ndio.maana mke wake analibondaMsema ukweli mpenzi wa Mungu au nasema uongo Shadeeya