Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Bayern ni maji marefu yale Mkuu na wangesema wanashindana nao basi ingekuwa aibu kwa bara la Afrika kwani wangeoga goli za kutosha.Wamenikera kweli yaani mie naja jamaa watasema potw ya pote hapa na sie tuupige. Loh! Ndio kwanza wanakaa kwenue nusu yao.
Ila tuseme ukweli tuu...mpira ni magoli but ata fina ya caf champions league aliyeupiga mpora alikjwa zamalek na sio al ahly.