Al Ahly wanastahili kucheza hata UEFA Champions League

Ukihangaika na Uto utaumiza kichwa chako, unawapuuza tu.
 

U timu umemjaa, mpira hajui huyo
 
uzi ulikua mzuri lakin umezidisha unazi wa utopolo .timu haina ontaget haina conner dk 90
 
Anza kwa kulinganisha na uchumi wa Tanzania vs Misri.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
sasa kama al ahaly wanastahili kucheza UEFA simba nao utasemaje maana walishachezeaga kimoja hapa
Yanga walimchapa kimoko taifa Canavaro aliwaua,home Bahanuzi akazingua kwenye penalty
 
Daah!! Kwa upande wangu naona bado sana hata hiyo Al Ahly kufika level za kucheza Uefa Champions league kwani jana ni kama muda wote walikuwa wanabakia nyuma tu sa sijui walikuwa na lengo gani nadhani ilikuwa kupunguza idadi ya magoli ambayo wangechakazwa. Pia mipira ilikuwa haikai miguuni.

Na ndio sababu hata Possession Al Ahly waliachwa mbali sana na Bayern Munich na pale kwa jinsi ligi ya Germany ilivyo hata angekuwa Mainz πŸ˜… angemtoa sana jasho Al Ahly kwani sisi soka letu Afrika mpaka mtu anakuwa bingwa ni mwendo wa fitna tu na ushirikina hamna mpira wa mana tunaocheza tofauti na wenzetu Ulaya.
 
Mashabiki wa utopolo ni wa ajabu sana. Yule kocha hakukosea kuwaita manyani kazi yao kubweka bweka tu.
 
Ndio maana nakupenda uko tofauti na utopolo wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…