Al Ahly wanastahili kucheza hata UEFA Champions League

Wamenikera kweli yaani mie naja jamaa watasema potw ya pote hapa na sie tuupige. Loh! Ndio kwanza wanakaa kwenue nusu yao.

Ila tuseme ukweli tuu...mpira ni magoli but ata fina ya caf champions league aliyeupiga mpora alikjwa zamalek na sio al ahly.
Bayern ni maji marefu yale Mkuu na wangesema wanashindana nao basi ingekuwa aibu kwa bara la Afrika kwani wangeoga goli za kutosha.
 
Al Ahly ni timu bora Africa.
Lakini Al Ahly anafungika,Simba,Yanga na timu zingine za Africa zishaifunga Al Alhaly.
Kwenye soka lolote linatokea na akuna mbabe wa milele.
 
Al Hilal hii ya Mosamane wanacheza vizuri ila mbele hakuna mipango kabisa ya kufunga magoli, nilikuwa naangalia mpaka nikawa najiuliza sasa hapo bao watafungaje, wakikutana na simba itakuwa game ya kawaida tu labda kama watabadili mbinu zao pale mbele
 
Mpira ni Magori na Results...., mengine yote ni immaterial....

Pia kumbuka hii world championship timu za huko wala hazina usongo nazo sana yaani naweza sema ni friendly match kwao..., sasa njoo kwenye competitive match uone.....

Sio kwamba nasema hawawezi kila mtu anaweza kushiriki sio mpaka ushinde...., pili kipimo cha uzuri wa timu ni league hizi cup competition unaweza kuamka vizuri siku hio ukabahatisha, ila ligi huwezi ukawa na bahati kila siku mwaka mzima
 
Wanayoizarau AL ahaly wakumbke Barcelona na mess ndani walipigwa 8 bayn si ya kunyea
 
Al Ahly jana wameaibisha Afrika muda wote wamekaa nyuma hata kushambulia wanaogopa hakuna shuti lolote la maana walilompigia kipa
 
magnifico umeongea ukweli, al ahly wanastahili kucheza uefa champions league....ubora wao hupimwa na timu kubwa, so washaonyesha wao ni bora.


Al ahly
Wydad Casablanca
Zamalek
Esperance de tunis

These teams naziheshimu mno...ingewezekana wakazishirikisha pia tungefaidi sana
🙂🙂
 
Iongeze na Simba hapo
 
Bayern ni maji marefu yale Mkuu na wangesema wanashindana nao basi ingekuwa aibu kwa bara la Afrika kwani wangeoga goli za kutosha.
Huyu jamaa hapa ana miaka 26 tu...
Pale al ahly mwenye 26 hana mwili huu jamani mi nasema izo bao mbili zinatosha sana maana bayern hakutaka kukaza pale alikua anafanya mazoezi tu..angekaza je
 
Huyu jamaa hapa ana miaka 26 tu...
Pale al ahly mwenye 26 hana mwili huu jamani mi nasema izo bao mbili zinatosha sana maana bayern hakutaka kukaza pale alikua anafanya mazoezi tu..angekaza je View attachment 1698895
Umeongea point moja ya mwili,hii timu ya Bayern sifa yake kuu huwa ni kuwajenga miili wachezaji wake kwanza tofauti na timu nyingine Ulaya.
 
Huyu jamaa hapa ana miaka 26 tu...
Pale al ahly mwenye 26 hana mwili huu jamani mi nasema izo bao mbili zinatosha sana maana bayern hakutaka kukaza pale alikua anafanya mazoezi tu..angekaza je View attachment 1698895
Hakika Mkuu zinatosha kwa faida ya Bara la Afrika 😅 mana nje ya pale ingekuwa aibu ya mwaka.

Kwani jamaa ni hatari wale.
 
Hakika Mkuu zinatosha kwa faida ya Bara la Afrika [emoji28] mana nje ya pale ingekuwa aibu ya mwaka.

Kwani jamaa ni hatari wale.
bayern wangekaza first half tu bao nane...
 
Bayern ni maji marefu yale Mkuu na wangesema wanashindana nao basi ingekuwa aibu kwa bara la Afrika kwani wangeoga goli za kutosha.

Hapana shadeeya...Al ahly ni nusu ama robo tatu ya ubora dhidi ya timu za ulaya na Amerika ya kusini as Boca juniors or River plate. Kumbuka kuwa haya ni mashindano ya kutwaa kombe la fifa club world cup na sio "hawakutaka tu"....so ligi za Morocco, Egypt and Tunis ni best kuliko ligi yoyote hapa Afrika huu ndio ukweli halisi. Na hawa ndio wanatupa heshima kubwa barani Afrika, kama sio wao tungedhalilika sana.


Respect kwao!

 
Angalia statistics kwanza ndio uwasifie View attachment 1697978
Tuwekee na ile statistics ya Barcelona alivyopigwa nane na ile ya Dortmund na Atletico Madrid wote wakivyopigwa magoli manne. wanastaili pongezi kwasababu wamejitahidi kuwapa wakati mgumu Bayern Munich kupata magoli na mpaka goal la pili wanapata dakika za mwishoni kabisa. Walikuwa na nidhamu nzuri ya kujilinda japokuwa walikuwa wameshindwa katika kutengeneza mashambulizi. kwani wewe haujiu Bayern Munich uwezo wao unavyotisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…