Al-Ahly wapo Austria kwa maandalizi

Kumbe siku hizi kipimo cha ukubwa wa timu ni kucheza na bingwa mtetezi. Kama ndio kipimo cha ukubwa hiko basi kuna safari ndefu sana kwenye soka letu kwasababu tunalizika na vitu vya kijinga mno.
 
Simba haikufika nafasi ya saba kwa vilabu Afrika kwa kucheza na kama Zalan na ASAS inakutana na vigogo kama hawa mara nyingi! Huo ndio ukubwa wenyewe!
 
Duuuh nilifikiri niongea na mtu wa top ten kumbe ni wa nafasi ya 18 Afrika? Niletee mtu wa top ten ndio tutaelewana![emoji1787][emoji1787]
Endelea kufarahia top ten, ndio aina ya mafanikio uliyachagua. Ila hamkufika top ten kwa point za msimu mmoja bali mliziunga unga point jambo ambalo timu yeyote inaweza kufanya. Na msimu huu ndio umeanza tuone kitakachovunwa na kila klabu.
 
Inawezekana Mkuu, ila inaweza kuwa miaka si chini ya ishirini iliyopita na Al-Ahly sidhani kama alikua defending champion!
Endelea kujidanganya, Yanga ya kampa kampa tena ya wakina Donald Ngoma hata miaka saba haijapita.
 
Kumbukizi mechi za mwisho Simba Vs Al ahly michuano ya CAF home & away.

1st leg.....Al-Simba 1-0 Al-ahly.

2nd leg....Al-ahly 1-0 Al-Simba.
 
Kumbukizi mechi za mwisho Simba Vs Al ahly michuano ya CAF home & away.

1st leg.....Al-Simba 1-0 Al-ahly.

2nd leg....Al-ahly 1-0 Al-Simba.
Mechi ambayo Al Ahly walicheza kwa ku relax kwasababu walishafuzu.
N.B katika historia ya Al Ahly katika michuano ya kimataifa ni nadra sana kushinda akiwa away hata akicheza na timu ndogo ndogo kajitahidi sana ni sare, ila kule kwao sasa ndio kuna balaa.
 
ILI UWE MKUBWA SHART UCHEZE NA WAKUBWA.

AMA KWELI SIMBA NI TIMU KUBWA.


NATAKA NIHAMIE RASMI SIMBA TIMU YA WAKUBWA
 
Al Ahly ni kubwa, safi!ndo wanakuja kwa Mkapa kukipiga na mnyama, na akijichanganya anapigwa
Simba ndo akijichanganya asijichanganye kipigo kiko pale pale!

First leg Al Ahly 7 - Simba 0! Second leg Al Ahly 5 - Simba 0! Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0!
Makolo mechi zao 2 tu wanafurushwa ligi ya wanaume na kurudi kwenye vumbi lao Papatu Papatu Ngao ya jamii , huko lazima wabebe kombe la kufa kiume fc!
 
Ukistaajabu ya wabongo kumwabudu na kumsifu al ahly kisa yuko austria kwa preseason utayaona ya wabongo hao hao kumponda simba kisa kaenda turkey kwa pre season, utasikia timu kubwa hubaki zimetulia nchini kwao.

hapa ndipo utakumbuka ya member aliyeongelea wabongo kujaza page za pyramid kumsifia mayele huku wengine wakijaa uarabuni kumsifia outara na wengine ufaransa kumsifia sakho huku wabongo hao hao wakiwa hata hawajui samata anacheza wapi wakati alitokea simba

kiufupi wabongo tuna tatizo katika afya ya akili

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…