Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Ahmed Ally au Semaji la CAF lilisema hata bia imeandikwa hairhuhusiwi kwa walio chini ya miaka kumi na nane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahmed Ally au Semaji la CAF lilisema hata bia imeandikwa hairhuhusiwi kwa walio chini ya miaka kumi na nane.
Kumbe siku hizi kipimo cha ukubwa wa timu ni kucheza na bingwa mtetezi. Kama ndio kipimo cha ukubwa hiko basi kuna safari ndefu sana kwenye soka letu kwasababu tunalizika na vitu vya kijinga mno.Simba kweli ni timu kubwa, nimejiuliza mara nyingi sipati majibu hivi ni lini timu nyingjne ya Tz ilicheza na bingwa Mtetezi wa Club Bingwa ya Afrika kama Al Ahly na Wydad? Tuache ushabiki maandazi jamani tuzungumzie uhalisia hii Simba haikufika hapo kwa bahati mbaya ilipambana.
Yanga imefikaje nafasi ya 18 kutoka kwenye nafasi 75? Mbona akili zako zimefilisika kiasi hiko?Simba haikufika nafasi ya saba kwa vilabu Afrika kwa kucheza na kama Zalan na ASAS inakutana na vigogo kama hawa mara nyingi! Huo ndio ukubwa wenyewe!
Endelea kufarahia top ten, ndio aina ya mafanikio uliyachagua. Ila hamkufika top ten kwa point za msimu mmoja bali mliziunga unga point jambo ambalo timu yeyote inaweza kufanya. Na msimu huu ndio umeanza tuone kitakachovunwa na kila klabu.Duuuh nilifikiri niongea na mtu wa top ten kumbe ni wa nafasi ya 18 Afrika? Niletee mtu wa top ten ndio tutaelewana![emoji1787][emoji1787]
Endelea kujidanganya, Yanga ya kampa kampa tena ya wakina Donald Ngoma hata miaka saba haijapita.Inawezekana Mkuu, ila inaweza kuwa miaka si chini ya ishirini iliyopita na Al-Ahly sidhani kama alikua defending champion!
Mechi ambayo Al Ahly walicheza kwa ku relax kwasababu walishafuzu.Kumbukizi mechi za mwisho Simba Vs Al ahly michuano ya CAF home & away.
1st leg.....Al-Simba 1-0 Al-ahly.
2nd leg....Al-ahly 1-0 Al-Simba.
Simba ndo akijichanganya asijichanganye kipigo kiko pale pale!Al Ahly ni kubwa, safi!ndo wanakuja kwa Mkapa kukipiga na mnyama, na akijichanganya anapigwa