Mpira magoli jamani kha maana zamaleki wameupapasa mpira hatari.Timu ya Al Ahly imefanikiwa kutwaa taji la CAF Champions league baada ya kuifunga Zamalek magoli mawili kwa moja.
Ahly walipata magoli yao kupitia kwa Al sulaya 5" na Kafsha 86". Goli pekee la Zamalek liliwekwa wavuni na Shikabala 31".
Ahly wanachukua ubingwa wao wa 9.
Pitso anaweka historia ya kuchukua kombe akiwa na timu mbili tofauti.
Kujifunza tumejifunza kitambo tu...ila hatuna hela mkuu...makelele ndiyo halali yetu...wababe Africa watabaki walewale tu timu za uarabuni Tp Mazambe labda Mamelody kidogo...na hizo timu nyingine za south zikijielewa.Jamaa pesa wanayo aisee. Acha watawale mpira wa Africa. Tuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwao; uwekezaji na namna ya kuongoza mifumo ya mpira.
Wamempa bonus ya dolla laki tanoPitso mosimane hela anayolipwa kwa mwezi.. unalipa team nzima ya kanjibai mo plus watani wao wa jangwani
labda vigogo wa Twitter..vipi mwakilishi wetu simba sc anaweza kuchuana na nao vigogo?
Hii ni "Real Madrid ya Africa"...πππJamaa pesa wanayo aisee. Acha watawale mpira wa Africa. Tuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwao; uwekezaji na namna ya kuongoza mifumo ya mpira.
Ndiyo...vipi mwakilishi wetu simba sc anaweza kuchuana na nao vigogo?
Umekumbuka goli moja aliloshinda Simba lakini kumbukumbu za Simba kufungwa goli tano na hao hao hukuwa nazo. Moja na tano ipi kubwa?Ndiyo...
Kumbuka Al ahly alikufa hapo kwa Mkapa 1-0.
Simba nguvu moja [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sisi tuendelee kujiita pira ubwabwa na pira mihogo [emoji1787][emoji1787] mpaka wakati tutakapoanza kuwa serious kwenye mpira.Kujifunza tumejifunza kitambo tu...ila hatuna hela mkuu...makelele ndiyo halali yetu...wababe Africa watabaki walewale tu timu za uarabuni Tp Mazambe labda Mamelody kidogo...na hizo timu nyingine za south zikijielewa.
WeeNdiyo...
Kumbuka Al ahly alikufa hapo kwa Mkapa 1-0.
Simba nguvu moja πͺπͺπͺπͺπͺ