Al Ahly yatwaa ubingwa wa CAF Champions league

Al Ahly yatwaa ubingwa wa CAF Champions league

Leo saa 4:00 moto utawaka baina ya Al ahly kutoka Egypt dhidi ya Kaizer Chiefs (Wangoni) kutoka South Africa.

Nani kutwaa taji hili la CAF champions league???

Dakika 90 zitaamua nani awe bingwa🙌🙌
 
Back
Top Bottom