Al Akhdood Walalamika Simba SC kutumia Nembo yao

Al Akhdood Walalamika Simba SC kutumia Nembo yao

Huyu mama anaongoza kuposr uzushi kila kukicha,mijitu mingine imeanza kushabiki mpira juzi achana nayo,akipata bwana ataacha ujinga
Uzushi uko wappi?

Muulize msemaji wenu hii timu kaaitoa wapi?
20220724_144639.jpg
 
Taarifa kutoka kwa afisa habari wa Al Akhdood Club.

Kuna Taarifa kutoka kwa afisa habari wa klabu ya Al -Akhdood club akilalamika kwanini Simba sc wametumia Jina na nembo yao na kusema wamecheza nao mechi.

Wanasema wao hawajacheza mechi hiyo na hawako katika jiji la Ismalia bali wako katika jiji laa Cairo wakijiandaa na Pre season hiyo timu iliofungwa Sita sio timu yao.

Simba SC hapa mlipuyanga kwa kweli. Inaabidi mtoe maelezo ili wanachama na mshabiki wenu wapate kuwaelewa
View attachment 2301872View attachment 2301873
Chanzo chako cha habari ni kile kike kilichokupa habari kuwa Simba wamefungwa 12-0?
 
Chanzo chako cha habari ni kile kike kilichokupa habari kuwa Simba wamefungwa 12-0?
Mtuambie hizo 6-0 mlimfunga nani jana? Wenye timu yao wamesema jana hawakucheza na hawapo kwenye huo mji, sa itakuaje
 
ila kweri embu fikili timu ya falme za kiarabu wachezaji wavae soksi tofauti angaria katika picha
Hivi jamani hata mechi ya training ndio inawatoa roho namna hii? Yaani mtu anafuatilia hadi soksi za mazoezini? Naona kama watu tumekosa kazi za kufanya
 
Back
Top Bottom