Al Akhdood Walalamika Simba SC kutumia Nembo yao

Huyu mama anaongoza kuposr uzushi kila kukicha,mijitu mingine imeanza kushabiki mpira juzi achana nayo,akipata bwana ataacha ujinga
Uzushi uko wappi?

Muulize msemaji wenu hii timu kaaitoa wapi?
 
Chanzo chako cha habari ni kile kike kilichokupa habari kuwa Simba wamefungwa 12-0?
 
Chanzo chako cha habari ni kile kike kilichokupa habari kuwa Simba wamefungwa 12-0?
Mtuambie hizo 6-0 mlimfunga nani jana? Wenye timu yao wamesema jana hawakucheza na hawapo kwenye huo mji, sa itakuaje
 
ila kweri embu fikili timu ya falme za kiarabu wachezaji wavae soksi tofauti angaria katika picha
Hivi jamani hata mechi ya training ndio inawatoa roho namna hii? Yaani mtu anafuatilia hadi soksi za mazoezini? Naona kama watu tumekosa kazi za kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…