Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Huyu al bashir kaikwepa ICC kule the Hague, anakutana na mahakama za ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
First on planetEti...?!!!?View attachment 1278943
UmeonaeeeHuyo lazima wamninginize
Ova
The Great hapa ni wapi na hao ni akina nani?
Wapi huko The Great?Hao ni wachawi, mitambo yao ili feli mpaka asubuhi kumekucha, wananchi wakawakuta.
Kwa sasa wanatumbua mimacho yao kututishia, siku yaja wataikodoa na kuona giza wala si utusitusi!!!Eti...?!!!?
View attachment 1278943
Upinzani uko tayari mkuu, uwe tayari mara ngapi!!? Wananchi wanauamini sana upinzani, ni dola tu inawakatisha tamaa. Ukitaka kuelewa nisemalo anza kufanya utafiti juu ya hawa wenyeviti walioteuliwa kidikteta uone taabu waliyoanza kuipata toka kwa watu.Ndiyo taa nyekundu tayari watu wengi hawaipendi ccm japo hao hao hawajawa na uhakika na upinzani. Waloko ccm ni kwa imani tu na hofu ya kwenda motoni kama waaminio katika dini.siku zinavokwenda watu wanazingatia uhalisia wa mambo na sio imani. Hii taa nyekundu.
Mbegu zinazomwagwa ni magugu hatari yatakayoindoa ccm. Ushindi unaotamkwa wa kishindo unatokana na mbegu zilizomwagwa.
Ccm contains the seed of its own destruction
Awe mchina, mhindi, mzungu, msauthi wanachotaka ni pesa. wenyewe mkipigana wanakaa standby kuuza silaha na vietendea kazi vyote vya vita. They dont give a shit who kills who. Sisi mazombie wa kiafrika kazi yetu ni kutoa resources zetu kuwanufaisha.Bashir wamemtumia maskini mwenyewe akajiona Codivywaaaaa leo yanamtokea puani shkamoo wazungu.
Kwa Tanzania hii bado sana. Kwa sasa ni sawa na ndoto tuItatokea siku tukiwa na akili ya kusema inatosha. Hawataweza tuua wote. Na ndio maana wamekimbilia Dodoma. Hata wanajeshi nao watapima upepo wakiona watu hawachoki watamchomoa tu
Mungu ni mkuu, kuliko kitu chochote hapa duniani........
Hawa wanaofanya udhalimu wa hali ya juu hapa nchini na "kuigiza" kwenda kwenye nyumba za ibada kila Jumapili na kutoa mwito kwa wananchi wake wamuombee, hakika yatawakuta haya ya Sudan!
When wil we learn ????......................Sijui kama itafika siku tukakuja kujifunza juu ya hili Sudan ilitakiwa iwe ni funzo kwa mataifa mengine kitambo, mimi binafsi hakuna jambo lilinichanganyaga kama lile la Kiir na Lieck Mashal watu mliokua mnafight pamoja kwaajili ya Bashir mmepata mtakacho tena mnakuja kuvutana wenyewe kwa wenyewe nilijisemea hii vita haina mwisho.Awe mchina, mhindi, mzungu, msauthi wanachotaka ni pesa. wenyewe mkipigana wanakaa standby kuuza silaha na vietendea kazi vyote vya vita. They dont give a shit who kills who. Sisi mazombie wa kiafrika kazi yetu ni kutoa resources zetu kuwanufaisha.
Lini tutaacha kupigana? wenzetu wazungu walishaacha ila wahindi hawaashi kuchokozana na wapakistani, wakorea kusini dhidi ya kaskazini. Tumeshuhudia vita ya shriranka iliyodumu miaka kisa sehemu ndogo tu ambayo aliishi wahindu sababu wengi ni wa buddha. Third world bado tuna safari ndefu kufikia mahali tukachoka kupigana na kuuza silaha na sisi sijui kwa ng'ombe au kuku au mbuzi maana tutakuwa wa mwisho kuacha kuumana.
Kongo wanamalizana ila anayefaidi mchina na mrusi, mmarekani na wengine wanachota wanachokitaka wanaacha ardhi tupu. When will we learn???????????
Kuna wakati hata walio wajinga sana huelimika. Wakati ukifika itafanikiwa maana CCM hatuwezi ishinda kwenye kura.Kwa Tanzania hii bado sana. Kwa sasa ni sawa na ndoto tu
Kwetu wajinga sio shida ni wapumbavu ndio wengi maana hata wasomi wetu wengi wao wametoa ujinga lakini upumbavu bado upo.ndio maana kwetu kuifikia Sudan bado sanaKuna wakati hata walio wajinga sana huelimika. Wakati ukifika itafanikiwa maana CCM hatuwezi ishinda kwenye kura.
Dawa ni maandamano, kuifuta na wote waliowahi kugombea kupitia CCM wasipewe nafasi yoyote ya uongozi.
CCM ifutwe na mali zote zimilikwe na Halmashauri za Eneo husika
Kenge hawezi kusikia mpaka atokwe damu