Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

Hahhhaa!hi
 
Dah nimecheka sana..!

Siku moja kabla ya ile mechi na tabora gamond alisema katika interview na media moja kuwa hanapressure ya kupoteza mchezo kwa kuwa hata man city kafungwa.

Mi niliposikia hayo nilijua tayar yanga wameshaanza kupoteana. Mechi ilivoisha siku ya pili yake nikasema hiki kinasadiki maneno ya kocha.

Kifup watan mmeshaoza yan hata udi hauwez wasaidia.
 
Kwa iyo siku izi ndo mnajipa moyo ivo?
 

Uongozi wenu usivyo na akili imebadili uwanja😂😂😂
 
Haahhaa!hiyo tunaaiita kupanic kisoka,Maana utopolo mlichonga sana,mechi mbili tu zinawatoa udenda!!?mking'olewa kilabu bingwa si mtavunja team nzim✋✋✋✋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…