Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024.
Wachezaji...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia.
Mind you kama Feisal angemuacha ina...
Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi...
Klabu kongwe nchini, Simba Sports Club imeingia vitani na watani zao Yanga Afrika kwenye kinyang'anyiro cha kuzisaka saini za mastaa wa klabu hiyo yenye makao makuu yake Jangwani jijini Dar Es Salaam Pacome Zouzoua na Khalid Aucho.
Mastaa hao tegemezi katika kikosi cha kwanza cha Yanga...
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho akifanya mahojiano na Muandishi wa habari kutoka Uganda hapo jana alipoulizwa kuhusu kuondoka Yanga alijibu kuwa bado yupo Yanga mpaka Siku Injinia na Gsm waseme Aucho sasa basi
.
"Nashukuru kwa mapenzi ya wananchi na mimi nafurahi sana kucheza Yanga, mimi nipo Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.