Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

Salaleh! togwa lishaingia nzi...
 
Mmechukua mara3 mfululizo tuacheni bhas na wenzenu tuchukue kuimba kupokezana mbona mnakuwa ivo uto.
Mkuu nyie mlichukua mara 4 na sisi lazima tulipe,au unasemaje Kolokwinyo?
 
Mkuu nyie mlichukua mara 4 na sisi lazima tulipe,au unasemaje Kolokwinyo?
Mara 3 inawatosha mara 4 mtakuwa machizi umemuona msemaji wenu kashalunduka anajamba jamba tu huko kmc.
 
Kolo FC mnatabu "eti timu yangu....".Haya mambo zamu itafika zamu yenu ya kuitana mara tatu.
 
Tayari maji yameanza kujitenga na Mafuta.
Wachezaji Wazee Pumzi ishakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…