Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

Watu weusi tuna laana ya milele
 
Yamekuwa haya tena
 
Upi mchango wako kwenye timu mkuu?
 
Umeandika mambo mengi yaliyojaa maoni binafsi na ushabiki wa KITANZANIA
 
Upi mchango wako kwenye timu mkuu?
Mimi ni mwanachama hai kupitia tawi la Mbezi Luis ( stendi ya daladala),tofauti na hapo pia Nina kwenda uwanjani mechi zote za weekend,pia Nina nunua bidhaa zote zenye logo ya Yanga ikiwemo Mabegi,vikombe na tisheti!

Je ! Wewe upi mchango wako kwenye timu hii?
 
Umeandika mambo mengi yaliyojaa maoni binafsi na ushabiki wa KITANZANIA
Wewe na wendawazimu wenzio ni mashabiki hoya hoya!

Mimi nikiwa kama mwanachama hai wa Yanga ninaongea kile ambacho ninakifahamu kuhusu timu hii!

Nimekuwa mwanachama wa Yanga tangu mwaka 1996!

Je ,wewe ni mwanachama au shabiki?
 
Mm ni mwanachama wa yanga toka 1988 naijua yanga ila huko unakotupeleka tumeshatoka. Hakuna timu ambayo haifungwi duniani kwa yanga imekuwa nongwa?
 
Mm ni mwanachama wa yanga toka 1988 naijua yanga ila huko unakotupeleka tumeshatoka. Hakuna timu ambayo haifungwi duniani kwa yanga imekuwa nongwa?
Wewe ni mwanachama wa tawi lipi?
 
Sisi wana ubaya ubwela tunasema hivii
Tawireeee tawireeee πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Huu ndiyo muda wenu wa kucheka,muda huu Huwezi sikia GSM anaharibu ligi,ila muda si mrefu milio itaanza kusikika tena!
 
We
🀣🀣🀣ninyi na kocha wena hakuna heshima na timu pinzani kazi kujificha kwenye kivuli cha tunawaheshimu wapinzani ila ndani kocha ana dharau sanaa ndio maana wanamkanda tu sahivi
Timu yako iliigunga yanga??
 
Mkishashiba ugali na migebuka mnajikuta mmeshakuwa walimu wa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…