mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
kuna mi uto kibao tunaimbaiaga mkubwa ni mkubwa tu inabisha hadi mishipa ya shindo inasimama, Simba na yeye ni mkubwa tu pamoja na kupigwa 3 na Raja usije ukastuka Esperance naye anakalia kimoko.Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Raja atatoka labda hao 2. Vipi Simba yeye hana chake mbona tuna mtengaAcha wapigwe tu, al ahly sio ya kitoto mwisho wa siku mkubwa anabeba ndoo
Moja kati ya huu utatu anabeba bila ubishi
1 Raja casablanca
2 Wydad casablanca
3 Al ahly sc
I wish Wydad or Raja abebe
Raja atatoka labda hao 2. Vipi Simba yeye hana chake mbona tuna mtenga
Tarehe 5 sio mbali itajulikanaHhahaaa, wamejitahidi sana. Hatujajua watapangwa na nani
Ila msimu ulioisha walikandwa fainaliAl Ahaly ni sawa na Real Madrid wakishafikaga hatua za robo fainali, mbali na kubadilika tu kisoka ila pia huwa wanafika fainali na kunyanyua kombe kabisa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona Simba umeitoa anabeba kombeAcha wapigwe tu, al ahly sio ya kitoto mwisho wa siku mkubwa anabeba ndoo
Moja kati ya huu utatu anabeba bila ubishi
1 Raja casablanca
2 Wydad casablanca
3 Al ahly sc
I wish Wydad or Raja abebe
Mpunga waliovuna kwenye makundi CAFCL ndo mpunga watakavuna Yanga robo fainali CAFCC.Al hilal kwisha habari yao, haya waliwatoa wananchi now wenzao wako robo fainali ya shirikisho, wao hata makundi wameshindwa kutoboa.
Viva Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaMpunga waliovuna kwenye makundi CAFCL ndo mpunga watakavuna Yanga robo fainali CAFCC.
Huoni tofauti hadi hapo? Halafu makundi champions league ni kwa wakubwa watupu tofauti na hao failures wa shirikisho hata afike nusu fainali.
Na ibenge kalalamika Al ahly waliingiza washabiki wengi mnoAl Hilal wajilaumu wenyewe ,game na mamelodi waliichezea sana.Sema waarabu wanamashabiki aisee.
Hivyo ndivyo Champions league ilivyo ngumu, timu iliyoitoa Yanga imeshindwa kupenya, fikiria Yanga ingekuwajeAl hilal kwisha habari yao, haya waliwatoa wananchi now wenzao wako robo fainali ya shirikisho, wao hata makundi wameshindwa kutoboa.
Viva Yanga