Al Hilal Chali

Al Hilal Chali

Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
kuna mi uto kibao tunaimbaiaga mkubwa ni mkubwa tu inabisha hadi mishipa ya shindo inasimama, Simba na yeye ni mkubwa tu pamoja na kupigwa 3 na Raja usije ukastuka Esperance naye anakalia kimoko.
 
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.

Acha wapigwe tu, al ahly sio ya kitoto mwisho wa siku mkubwa anabeba ndoo

Moja kati ya huu utatu anabeba bila ubishi
1 Raja casablanca
2 Wydad casablanca
3 Al ahly sc

I wish Wydad or Raja abebe
 
Acha wapigwe tu, al ahly sio ya kitoto mwisho wa siku mkubwa anabeba ndoo

Moja kati ya huu utatu anabeba bila ubishi
1 Raja casablanca
2 Wydad casablanca
3 Al ahly sc

I wish Wydad or Raja abebe
Mbona Simba umeitoa anabeba kombe
 
Al hilal kwisha habari yao, haya waliwatoa wananchi now wenzao wako robo fainali ya shirikisho, wao hata makundi wameshindwa kutoboa.
Viva Yanga
Mpunga waliovuna kwenye makundi CAFCL ndo mpunga watakavuna Yanga robo fainali CAFCC.

Huoni tofauti hadi hapo? Halafu makundi champions league ni kwa wakubwa watupu tofauti na hao failures wa shirikisho hata afike nusu fainali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa
 
Al Hilal wajilaumu wenyewe ,game na mamelodi waliichezea sana.Sema waarabu wanamashabiki aisee.
Na ibenge kalalamika Al ahly waliingiza washabiki wengi mno
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Al hilal kwisha habari yao, haya waliwatoa wananchi now wenzao wako robo fainali ya shirikisho, wao hata makundi wameshindwa kutoboa.
Viva Yanga
Hivyo ndivyo Champions league ilivyo ngumu, timu iliyoitoa Yanga imeshindwa kupenya, fikiria Yanga ingekuwaje
 
Back
Top Bottom