Waache waendelee kupuyanga bahati nzuri washaeleweka upande wao vizuri tunachotaka wasije waaanza kubana pua zao na kubadilisha gia angani baada ya kipigo kizuri tuNaona mbwembwe za mashabiki wa simba na wengine wanadai kuwa al hilal Atamtowa yanga
Kwa akili yenu kabisa mnafikiri al hilal wana mpira gani wa ajabu wa kuwatowa yanga?
Ninyi subiri tu mayele ateteme alafu mtafute maneno tena ya kusema amefunga timu ndogo
BhaghoshaHihihihi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Acha Bangi huziwezi
Upo au umekufa ?Walisema yanga hawatavuka hatua ya awali kwa kuwa sijui yanga angeanzisha mechi za kirafiki kama alivyo anzisha NYONYO FC haya pute limepigwa mwisho wa siku matokeo ya Mbung'i YANGA 9:ZALAN 0,na hao NYONYO fc baada ya dakika 180 Nyonyo FC 4:Nyasa big bullet 0 na huyo nyonyo alifanya maandalizi ya kutosha tu dhidi ya timu ya nje ya Tanzania lakini Agg 4,huku YANGA walicheza na KMC wametoka na matokeo bora kabisa.
Nyonyo kuna kitu cha kujifunza kupitia kwa mabingwa walioshindikana kufungika