Al hilal hawezi kumtoa Yanga

Al hilal hawezi kumtoa Yanga

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Naona mbwembwe za mashabiki wa simba na wengine wanadai kuwa al hilal Atamtowa yanga
Kwa akili yenu kabisa mnafikiri al hilal wana mpira gani wa ajabu wa kuwatowa yanga?

Ninyi subiri tu mayele ateteme alafu mtafute maneno tena ya kusema amefunga timu ndogo
 
Lete Maneno.........
By JK Wa Msoga Chalinze Tanzania

Akili Za Kuambiwa Changanya Na Zako
Mbayuwayu Vs Kong'ota

Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbaya

Kazi Yangu Nitakuwa Kuiamsha Thread Hii Mpaka Mbungi Itakapopigwa Hadharani **
 
Naona mbwembwe za mashabiki wa simba na wengine wanadai kuwa al hilal Atamtowa yanga
Kwa akili yenu kabisa mnafikiri al hilal wana mpira gani wa ajabu wa kuwatowa yanga?

Ninyi subiri tu mayele ateteme alafu mtafute maneno tena ya kusema amefunga timu ndogo
Waache waendelee kupuyanga bahati nzuri washaeleweka upande wao vizuri tunachotaka wasije waaanza kubana pua zao na kubadilisha gia angani baada ya kipigo kizuri tu
 
Walisema yanga hawatavuka hatua ya awali kwa kuwa sijui yanga angeanzisha mechi za kirafiki kama alivyo anzisha NYONYO FC haya pute limepigwa mwisho wa siku matokeo ya Mbung'i YANGA 9:ZALAN 0,na hao NYONYO fc baada ya dakika 180 Nyonyo FC 4:Nyasa big bullet 0 na huyo nyonyo alifanya maandalizi ya kutosha tu dhidi ya timu ya nje ya Tanzania lakini Agg 4,huku YANGA walicheza na KMC wametoka na matokeo bora kabisa.

Nyonyo kuna kitu cha kujifunza kupitia kwa mabingwa walioshindikana kufungika
 
Upo au umekufa ?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom