Imekanushwa wapi na nani mkanushaji? Weka ushahidi basi.Imekanushwa, story ya uongo.
Sasa kama ndoa tu zinavunjwa mkataba ni kitu gani.Huna akili
Messi ame renew mkataba na PSG hadi 2024 na option ya kuongeza hadi 2025
Uko uswekeni ataenda ronaldo tu
Sasa kama ndoa tu zinavunjwa mkataba ni kitu gani.
Usweken anapolipwa bilioni 500 kwa mwezi..hapo saiv unaungua jua ukiwa wapi dogo.Huna akili
Messi ame renew mkataba na PSG hadi 2024 na option ya kuongeza hadi 2025
Uko uswekeni ataenda ronaldo tu
Sizani kama ni kweliMkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha.
Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa euro milioni 278 kwa msimu.
Be Soccer
Hujasoma halafu unakanusha kwa ushahidi gani sijui.Sizani kama ni kweli