Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Hao future walifungwa huku na singida na kule kwao walipigwa moja na singida ndipo wakaanza figisu kujiangusha kurusha chupa uwanjan na kupoteza muda na kuwatoa singida mchezoni
Hivi ulkua unacheki game kweli au ulkua unadinywa bobu
Tunalalamika kubaguliwa wakati sisi ndio tunajibagua.Ukisema ligi ya waarabu unawakosea mkuu, ni kama huku tuambiwe ligi ya waafrika utapenda!! Sema ligi ya Saudia au Sudan utaeleweka tu.
Hili neno kukariri. Naona umelizoea bila sababu
Tunalalamika kubaguliwa wakati sisi ndio tunajibagua.
Wanachezea miguu minne au?Unafananisha future na singida kweli!! Jibu hoja, acha matusi
Kubali kataa waarabu sio level yetu, waarabu wanajua mpira, huku kwetu ni figisu na siasa tu.
Ile mechi yasingida imeonesha namna jamaa walivyo mbele kimpira yan hata wangebak 7 uwanjan singida angekufa, baada yared yamaa wakapiga mpira mkubwa mnoSio kukariri bobu
Si tunawaona waarabu walivyo kwenye mechi zao hasa wanapokuwa kwao
em karudie kuangalia mechi ya future vs singida
Alafu uone nani aliyekariri
Wanachezea miguu minne au?
Jenga hoja ya kujua kwao mpira
Ndy jamaa wako vizuri kuliko singida lakin kabla ya red singida walikuwa washatolewa mchezoni na hiyo ni kawaida ya waarabuIle mechi yasingida imeonesha namna jamaa walivyo mbele kimpira yan hata wangebak 7 uwanjan singida angekufa, baada yared yamaa wakapiga mpira mkubwa mno
Ndy jamaa wako vizuri kuliko singida lakin kabla ya red singida walikuwa washatolewa mchezoni na hiyo ni kawaida ya waarabu
Eeh walijiona wako pungufu kwahiyo ni bora watumie mbinu zote washindeWalikua wachache tu, lakini moto wake ni heri wasingepata red card.
Baada ya kupata red card uliwaonaje the future?Eeh walijiona wako pungufu kwahiyo ni bora watumie mbinu zote washinde
Wanachezea miguu minne au?
Jenga hoja ya kujua kwao mpira
Pira jingi figisu nyingi kuwa toa wanasingida mchezoni na kuwamwagia goli kibaoBaada ya kupata red card uliwaonaje the future?
Singida bado sana kule mzee.Hao future walifungwa huku na singida na kule kwao walipigwa moja na singida ndipo wakaanza figisu kujiangusha kurusha chupa uwanjan na kupoteza muda na kuwatoa singida mchezoni
Hivi ulkua unacheki game kweli au ulkua unadinywa bobu
Pira jingi figisu nyingi kuwa toa wanasingida mchezoni na kuwamwagia goli kibao
Ni wakali na wamewekeza kwenye mpira lakini figisu ni kama kawaHakuna cha figisu, wenzetu wanajua mpira, THE FUTURE watafanya makubwa huko mbeleni, sisi acha tuendelee kutumia nguvu
Ni wakali na wamewekeza kwenye mpira lakini figisu ni kama kawa
Hujui figisu za waarabu wewe
Usm kampiga al ahly
Usm kapigwa na yanga Tena kwao
Lakin chakushangaza al ahly atampiga yanga sio chini ya goli Tano misri
Kwann?
Sababu ya figisu zao bobu legeza Tako ikuingie vizuri man
Nayomba gette lishindo lakoooHuwezi kujibu hoja mpaka utusi, Basi tuishie hapa mkuu. Naahene sana
Nayomba gette lishindo lakooo