Al Ittihad vs Al Ahly: Vibe la mashabiki ni noma

Al Ittihad vs Al Ahly: Vibe la mashabiki ni noma

Hao future walifungwa huku na singida na kule kwao walipigwa moja na singida ndipo wakaanza figisu kujiangusha kurusha chupa uwanjan na kupoteza muda na kuwatoa singida mchezoni
Hivi ulkua unacheki game kweli au ulkua unadinywa bobu

ALHAMDULILLAH
 
Unafananisha future na singida kweli!! Jibu hoja, acha matusi

Kubali kataa waarabu sio level yetu, waarabu wanajua mpira, huku kwetu ni figisu na siasa tu.
Wanachezea miguu minne au?
Jenga hoja ya kujua kwao mpira
 
Sio kukariri bobu
Si tunawaona waarabu walivyo kwenye mechi zao hasa wanapokuwa kwao
em karudie kuangalia mechi ya future vs singida
Alafu uone nani aliyekariri
Ile mechi yasingida imeonesha namna jamaa walivyo mbele kimpira yan hata wangebak 7 uwanjan singida angekufa, baada yared yamaa wakapiga mpira mkubwa mno
 
Wanachezea miguu minne au?
Jenga hoja ya kujua kwao mpira

Sasa mtu analazimisha wanajiangusha mara sijui hujuma mara fitina😄, basi na sisi huku tujiangushe ili tushinde kama ndio kigezo. Acheni kuwasakama waarabu, wametuzidi mbali. Sisi tuendelee na siasa
 
Ile mechi yasingida imeonesha namna jamaa walivyo mbele kimpira yan hata wangebak 7 uwanjan singida angekufa, baada yared yamaa wakapiga mpira mkubwa mno
Ndy jamaa wako vizuri kuliko singida lakin kabla ya red singida walikuwa washatolewa mchezoni na hiyo ni kawaida ya waarabu
 
Hao future walifungwa huku na singida na kule kwao walipigwa moja na singida ndipo wakaanza figisu kujiangusha kurusha chupa uwanjan na kupoteza muda na kuwatoa singida mchezoni
Hivi ulkua unacheki game kweli au ulkua unadinywa bobu
Singida bado sana kule mzee.

Uto angemkanda nje ndani..

Mnyama angesuluhu ugenini then angemkanda vibaya Dsm
 
Hakuna cha figisu, wenzetu wanajua mpira, THE FUTURE watafanya makubwa huko mbeleni, sisi acha tuendelee kutumia nguvu
Ni wakali na wamewekeza kwenye mpira lakini figisu ni kama kawa
Hujui figisu za waarabu wewe
Usm kampiga al ahly
Usm kapigwa na yanga Tena kwao
Lakin chakushangaza al ahly atampiga yanga sio chini ya goli Tano misri
Kwann?
Sababu ya figisu zao bobu legeza Tako ikuingie vizuri man
 
Huwezi kujibu hoja mpaka utusi, Basi tuishie hapa mkuu. Naahene sana
 
Back
Top Bottom