Baada ya kuona jinsi alivyowapeleka mbio kwenye mechi za Dar na Port Said, Al Masry wanataka kumnunua Okwi toka Simba.
Hakuna shaka Okwi ni mchezaji mahiri lakini hawajui utovu wake wa nidhamu ambao Simba siku zote wamevumilia lakini Etoile Du Sahel hawakuweza.
Kama kawaida, Simba watalamba hela na baadaye atarudi akilikoroga Al Masry.
Hakuna namna, Simba kuleni hiyo pesa.