Al Masry kuingia chaka kwa Okwi

Al Masry kuingia chaka kwa Okwi

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Baada ya kuona jinsi alivyowapeleka mbio kwenye mechi za Dar na Port Said, Al Masry wanataka kumnunua Okwi toka Simba.
Hakuna shaka Okwi ni mchezaji mahiri lakini hawajui utovu wake wa nidhamu ambao Simba siku zote wamevumilia lakini Etoile Du Sahel hawakuweza.

Kama kawaida, Simba watalamba hela na baadaye atarudi akilikoroga Al Masry.

Hakuna namna, Simba kuleni hiyo pesa.
 
Okwi huwa mtamu akicheza timu za hapa Bongo ( hasa simba) na labda kwao Uganda! Akienda nje ya Afrika Mashariki anakuwa mdebwedo mno! Kule Ulaya alikoenda mechi alizocheza zinahesabika! Tunisia alichokifanya anajua mwenyewe! Wacha Waarabu waingie cha kike!
 
Back
Top Bottom