Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

tunawatakia Simba SC kila raheli ili wabugizwe 5 bila, na kipondo juu!
 
Wataingia uwanjani siku hiyo utasema walibeba gearbox ya fuso.
Chezea waarabu wewe.
 
Jana nimeota simba kampiga mtu3-0

Bado sijaelewa maana ya hii ndoto
Kuna wakati ndoto huwa kinyume! Kule jamaa hawatashika so nina uhakika hatutapewa penati! Naamini hii itakuwa mara ya mwisho kwa timu yetu kupanda ndege! Mana huku bongo mwenyewe anataka nafasi yake! Ha ha ha simba nguvu ndogo!
 
Haka kauzi katashobokewa sana na wale wake zetu wa pale Jangwani...

Subiri uone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…