Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

Mambo ya Haluwa..... Haluwa...... Haluwa......
 
Kwa dar hiyo dmc ni ishu kuitungua maana nile nyepesi hapa dar ni 201 na 8w hiyo 7.3w da nimaumivu
 
Usisahau kuwakumbusha kununua kopo la paracetamol na dumu la maji pembeni maana maumivu ya kichwa lazima yatahusika
 
Mbinu zile zile za kocha Hossam Hassan wa Al-Masry kutumika leo jioni mjini Port Said, Egypt


Source: dmc Sports
 
Azam TV waelezea sababu za kutoonesha live match ya Al-Masry vs Simba inayotegemewa kupigwa muda wa saa moja na nusu jioni jioni mjini Port Said, Egypt. Sababu ni masuala ya Hakimu miliki na biashara za matangazo.


Source: Azam TV
 
Back
Top Bottom