Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 6 ya mchezo Al-Masry 0 - Simba 0 :[emoji16] [emoji16] mbona amna kitu aisee
Ila waarabu washenzi sana wanammulika Manula na taa za kijani
Kuzidiwa tumezidiwa lkn ile mitaa ya kijani wanayommulika Manula inazingua ,kwani ww hauoni.wabongo bana,huwa hamukubali kuzidiwa!!!!mkuu hapo mupo uarabuni mkuu au unafikir ni Mbeya mkicheza na Mbeya city?
Ni kweli Awa Watu Wanacheza Mpira wa Kasi Sana Yaani Simba Siwaoni Bocco ndo Simuoniii Kabisaaa.wabongo bana,huwa hamukubali kuzidiwa!!!!mkuu hapo mupo uarabuni mkuu au unafikir ni Mbeya mkicheza na Mbeya city?
SibukaWadau Dstv ni channel gani?
Goooooooool!Wadau Dstv ni channel gani?
Kwani ikishinda napokea kiasi gani. Piga mbwaaaaa hao