Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

Sisi waarabu bado tunajadili suala la kutuzimia umeme na kuleta mvua kwa wakati mmoja lazma tulipe nasi
 
Leo [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Wamepania Game ya [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] utazani wao hawaendi Kubakwa bila ya Ndomu kule [HASHTAG]#Botswana[/HASHTAG].
 
oi mazee.. hii ni uhakika 100% kuwa DMC Sport wataonyesha hii game, sio watu tunaandika mabango alafu mida inafika wadau wanambulia patupu hahaha
 
Wadau channel nyingine itakayoonyesha hii mechi inaitwa ON sports na yenyewe ipo hapo hapo Nile sat
 
Wadau channel nyingine itakayoonyesha hii mechi inaitwa ON sports na yenyewe ipo hapo hapo Nile sat
View attachment 717502
Wakuu Azam ameconferm hatoonyesha mechi ya simba na al masry so channel itayoonyesha nyngine ni ON SPORT ipo hapo hapo kwenye nilesat degree 7.3 west.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…