Al Merreikh watua Dar wakitetemeka

Al Merreikh watua Dar wakitetemeka

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Wameanza kulia lia mapema wakidai Simba SC walichelewa kuwapokea uwanja wa ndege na kukaa zaidi ya masaa mawili uwanjani hapo.

FB_IMG_16156979466303883.jpg
 
Wakwende zao. Masaa 2 wanalalamika. WAARABU WASHENZI SANA HAO
Hebu kuwa mstaarabu.. pevu la nini.. pia ndg nikufundishe:- usiwe una jumuisha watu au kabila au taifa...
Huu mchezo wa mpira...una Visa na vihoja vingi.
 
Msicho fahamu baadhi ya mashabik wa mbumbumbu fc Al Mereikh Kama club sio wageni apa Dar, Arusha, Mwanza au Zanzibar wameshiriki kwa miaka mingi mashindano ya Klabu bingwa Afrika Mashariki wamekuja wakiwa wanaifahamu vizuri Dar. Kinacho wa kwaza ni Simba Kama mwenyeji kuto fuata utaratibu kwa mujibu wa kanuni za CAF.kama wao mlipo kwenda kwao hawajawaletea ubabaishaji katika mapokezi ya timu yenu kwanini nyinyi muwafanyie vituko.
 
Back
Top Bottom