wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Kafanyaje kwani!!?Dilunga amedhoofisha timu, huyu mpumbavu hana akili ya football kabisa
Acha ujinga naweza nikaku report kwa mods kwa ujinga wako usituletee nuksi hapaGooooooooooooooooo,
Chris Mugalu anaipatia Simba goli swafi kabisa.
Simba 1-0 Al Marrikh.
Woyooooooooooooooo.
Kuna move tulikuwa watatu na beki wao mmoja, Dilunga akatuliza mpira mabeki wao wakarudi halafu akapoteza mpiraKafanyaje kwani!!?
Wengine hatuangalii mpira.